top of page
Vifaa/nyenzo
Bandiko kuhusu udhibiti salama wa taka ngumu kwa Jiji la Arusha na Manispaa ya Shinyanga. Bonyeza kwenye eneo lililondika picha kupakua.
Bandiko kuhusu unyonyaji salama na kwa wakati wa tope kinyesi kwa Jiji la Arusha na Manispaa ya Shinyanga. Bonyeza kwenye eneo lililoandikwa picha kupakua.
Bandiko kuhusu tabia salama za usafi wa mazingira kwa Jiji la Arusha na Manispaa ya Shinyanga. Bonyeza kwenye eneo lililoandikwa picha kupakua.
Mabandiko na mazoezi kuhusu tabia salama za usafi wa mazingira kwa Jiji la Arusha na Manispaa ya Shinyanga. Bonyeza kwenye eneo lililoandikwa picha kupakua.
Takwimu kuhusu tabia salam aza usafi wa mazingira kwa Jiji la Arusha na Manispaa ya Shinyanga. Bonyeza kwenye eneo lililoandikwa picha kupakua.
Mabandiko ya nyongeza kwa ajili ya udhibiti wa taka ngumu na bidhaa za hedhi kwa Jiji la Arusha na Manispaa ya Shinyanga. Bonyeza kwenye eneo lililoandikwa picha kupakua.
Katalogi ya Kiufundi ya ujenzi wa mifumo ya usafi wa mazingira kwenye tovuti
Katalogi ya Uuzaji kwa ajili ya ujenzi wa mifumo ya usafi wa mazingira kwenye tovuti
bottom of page