top of page
Picha
Mafunzo na urasimishaji wa watapishaji wa tope kinyesi.
Kituo cha kunawia mikono, kinachotumia miguu kuruhusu maji na sabuni kutoka ili kupunguza kugusana.
Ugawaji wa Glovu kwa wanyonya maji taka kwenye miji ya Shinyanga na Arusha.
Uzinduzi wa kituo cha kunawia mikono katika shule ya Msingi Uhuru jijini Arusha.
Ugawaji wa vifaa kinga jijini Arusha.
Safari ya mafunzo kuhusu biadhaa za tope kinyesi nchini Kenya.
Warsha ya uchaguzi wa kituo cha kuchakata tope kinyesi.
Ujenzi wa vyoo vya umma mjini Shinyanga.
Washika dau wakutana kupitia mipango ya mwaka.
bottom of page