top of page

Matukio

Siku ya kimataifa ya unawaji mikono

Kama ilivyo kila mwaka, tarehe 15 Mwezi wa kumi Dunia inaadhimisha siku ya unawaji mikono. Kauli mbiu ya mwaka huu inakwenda sambamba na elimu kuhusu Lishe, na WASH SDG itaadhimisha siku hii kwenye shule ili kuhamasisha tabia salama za usafi wa mazingira zinaambatana na unawaji wa mikono kwa sabuni.

Wiki ya usafi wa Mazingira nchini

Wiki ya usafi wa mazingira nchini ni tukio linalofanyika kila mwaka ambapo wadau wanaofanya kazi kwenye eneo la usafi wa mazingira hukutuna kwa pamoja na kujadiliana elimu ya mambo mapya na utekelezaji.

Image by Ricardo Fontes Mendes
bottom of page