Ungana nasi kwenye mitandao ya Kijamii
Karibu kwenye kampeni ya Mazingira Safi Maisha Bora, família na jamii yako wamekuwa wakikusubiri! Kwa pamoja tunaweza kuwa na jamii ya kisasa na salama tunayoihitaji ambapo vyoo na taka zinadhibitiwa salama, kuziacha jamii salama na mbali na magonjwa.